VOA Inamkumbuka Ruge Mustahaba

Your browser doesn’t support HTML5

Watanzania na hasa wale wa kwenye Tasnia ya habari na burudani nchini humo wanaendelea kuomboleza kifo cha Ruge Mutahaba ambaye alikua mkurugenzi wa uzalishaji na vipindi wa kampuni ya Clouds Media Group.