Wakimbizi kakuma kaskazini washirikiana na wenyeji kufanya maendelelo

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa miaka na mikaka wakimbizi katika kambi ya kakuma kaskazini magharibi mwa kenya wamekuwa wakiishi pekee yao. Maisha ya upekwe kwa wakimbizi ikawanyima nafasi ya kutagamana na mwenyeji na hata kushirikiana katika mausala ya maendelelo.