Pence alitangaza vikwazo dhidi ya Venezuela na msaada wa dola milioni 56

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu wa rais wa marekani Mike Pence na kiongozi wa upinzani wa Venezuela Juan Guaido wamekubaliana juu ya mkakati wa kupambana na rais aliye kwenye matatizo Nicholaus Maduro kufuatia mkutano na washirika wa kieneo uliofanyika Collombia