Wajumbe wa Amerika kusini wajadili mzozo wa Venezuela

Your browser doesn’t support HTML5

Wajumbe wa baadhi ya nchi za Amerika kusini, wanaounda kundi la Lima, pamoja na Marekani watakutana hii leo katika mji mkuu wa Colombia wa Bogota, ili kujadili mzozo wa kisiasa nchini Venezuela.