Wananchi wa Nigeria wasubiri matokeo ya Uchaguzi ya Urais

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kumalizika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Rais na wabunge, wanaigeria wamekesha katika kituo cha tume huru ya uchaguzi kusubiri matokeo ya nani ameibuka rais wa nchi hiyo.