Moto wauwa zaidi ya watu 70 Bangladesh

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya watu 70 wamepoteza maisha katika jengo la makazi ya watu ambalo pia linatumika kuhifadhi kemikali ambalo liliwaka moto nchini Bangladesh