Mzozo wa siasa waporomosha hali ya afya Venezuela

Your browser doesn’t support HTML5

Mzozo wa kisiasa unaoendela Venezuela umedidimiza hali ya afya kwa raia walio wengi baada ya hospitali kukosa madawa ya kuwahudumia.