Tamasha la filamu lamalizika LA na kuonyesha filamu 170

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya filamu 170 zilionyeshwa kenye tamasha la filamu zilizoandaliwa au kuchezwa na kuelezea historia ya watu wenye asili ya Afrika , tamasha hilo lilikuwa ni la 27 limemalizika jumatatu.