Kenya kupiga marufuku magari ya zamani

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya inakusudia kupiga marufuku uingizaji wa magari ya zamani pindi itakapofikia mwaka 2022. Hatua hii inalenga uimarishaji wa utengenezaji magari nchini Kenya.