Malkia wa mapembe ya ndovu ahukumiwa miaka 15 jela

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya hakimu mkazi jijini Dar es salaam imemuhukumu Feng Glan, maarufu kwa jina la malikia wa mapembe ya ndovu, miaka 15 jena pamoja na miaka miwili ya ziada pindi atakaposhindwa kulifa faini aliyotozwa na mahakama hiyo.