Wanachama wa baraza la mawikili Kenya wakitaka Gichuhi aondoke ofisini

Your browser doesn’t support HTML5

Wanachama wa baraza la mawikili nchini kenya wameandamana jiji Nairobi, wakitaka Rais wa baraza hilo Allen Gichuhi,aondoke ofisini.