Pompeo atowa wito wa kuanzishwa ushirikiano na nchi za Mashariki ya Kati

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo ametowa wito wa kuanzishwa enzi mpya ya ushirikiano na nchi za Mashariki ya Kati.