Kampuni ya Airbus itasitisha utengenezaji wa ndege ya A380 Superjumbo

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya Airbus, ambayo ni maarufu kwa utengenezaji wa Ndege, imesema hii leo kwamba itasitisha utengenezaji wa Ndege ya abiria muundo wa A380 Superjumbo, ambayo, licha ya kusifiwa na abiria, haikupata mashirika ya Ndege ya kutosha, kuinunua.