Wagombea wawili wa juu katika uchaguzi wa Rais nchini Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea wawili wa juu katika uchaguzi wa rais Jumamosi nchini Nigeria si wageni katika siasa za nchi hiyo, na hivi sasa wanawania nafasi ya juu ya uongozi katika taifa hilo la Afrika lenye idadi kubwa ya watu