Chakula ni chanzo kikubwa cha vifo duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa dunia kuhusiana na usalama wa chakula umeeleza kwamba chakula kilichoingia bakteria , virusi vimelea na kemikali zenye sumu zinazidi kuhatarisha afya na kutishia na kusababisha takribani vifo vya watu 420,000 kila mwaka.