Gofu la Msikiti wa karne ya 12 lagunduliwa Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajiolojia wa Kenya wamesema wamegundua Gofu la msikiti unaosadikiwa kutumika kati ya karne ya 12 na karne ya 13 katika kisiwa cha Mombasa