Duniani Leo February 13, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amesema hafurahishwi na makubaliano ya wabunge kuhusu kujengwa na mpaka wa kusini mwa Marekani na Mexico. Hata hivyo wasaidizi wa rais wamesema kuwa kuna uwezekano mkubwa kusaini makubaliano hayo. Uchaguzi mkuu wa Nigeria kufanyika jumamosi wiki hii.