Mtanzania akamatwa kwa tuhuma za madawa ya kulevya

Your browser doesn’t support HTML5

Mtanzania ajulikanaye kwa jina la Abdul Rahman Asman amekamatwa na madawa ya kelevya katika mji wa Bali nchini Indonesia. Madawa hayo aliyokamatwa nayo ni zaidiya kilo moja mabyo alikuwa ameyameza tumboni kwenye vifuko vya plastiki.