Kituo kipya cha kutoa msaada wa chakula chatangazwa Venezuela

Your browser doesn’t support HTML5

Upinzani nchini Venezuela umetangaza kituo kpya cha kupokea misaada inayohitajika kwa wananchi ambao wanahitaji msaada wa kipinaadamu ili kuepuka njaa nchini humo ambayo inasongwa na migogoro ya kisiasa.