Wakimbizi wa Kakuma wapewa msaada wa tiba

Your browser doesn’t support HTML5

Madaktari zaidi ya 30 kutoka Uturuki wako kwenye kambi ya Kakuma ambako watakua hapo kwa muda wa wiki moja kutoa msaada ya matitabu kwa wakimbizi wa kambio hiyo.