Trump asisitiza kujengwa kwa ukuta

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump kutembelea mji uliko mpakani mwa Mexico na USA , safari hii ni kutaka kusisitiza umuhimu wa kujengwa kwa ukuta ili kupunguza wimbi la wahamiaji.