Wavenezuela bado hawajapata chakula cha msaada

Your browser doesn’t support HTML5

Idadi kubwa ya raia wa Venezuela wanaovuka daraja la Simon Bolivar kuelekea Colombia kutafuta chakula. Hata hivyo rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekataa msaada wa chakula kutoka Marekani na Colombia.