Filippo Grandi asema kuna wakimbizi zaidi ya laki 3 wanaoishi Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Migogoro katika nchi za Burundi na Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ni moja ya changamoto kubwa ambazo jumuiya ya kimataifa inapaswa kuitafutia ufumbuzi, kwani endapo hali ya migogoro hiyo itaendelea nchi hizo zitaendelea kuwa na idadi kubwa ya wakimbizi.