Abdoulay Wade ataka watu kusuisia uchaguzi wa rais wa Februari 24 Senegal

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Senegal abdoulay wade amerudi Dakar ambako wito wake wa mapema wiki hii kutaka watu kusuisia uchaguzi wa rais wa Februari 24 haujapata uungaji mkono mkubwa.