Washington Bureau
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki hii: Rais Trump akihutubia wabunge kuhusu hali ya kitaifa ya Marekani. Wakati huo huo afisa wa polisi ambaye pia anafanya kazi kama DJ akiwa amevalia sare ya polisi anatumia nafasi yake kuwasiliana na vijana.