Je, upinzani ni maadui? : Masilingi, Lissu wajadili …

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Tanzania aliulizwa iwapo upinzani wanaonekana kama maadui wa taifa, kwani wameonekana wakiwekwa ndani, akiwemo Mbowe, Lema, Sugu, Mdee, Lissu na Zitto.