Duniani Leo February 7th, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya kusema bado hali yake si njema, Wabunge wa Tanzania wameanza kuhoji hali ya Tundu Lissu ya kiafya, na kwa nini hayupo bungeni, wala jimboni kwake na hawana taarifa kutoka kwa mbunge huo. Akiongea na VOA alisema anasubiri ruhusa ya daktari ili kurudi Tanzania.