Vijana na teknolojia

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana katika njimbo la Texas wajikita katika kuendeleza teknolojia baada ya makampuni mengi ya teknolojia kuhamia au kuhamishia matawi yake katika jimbo hilo.