Hali ya joto la baharini yapanda

Your browser doesn’t support HTML5

Uchafuzi wa mazingira yawa chanzo kikubwa cha kubadilisha hali ya hewa ya bahari. Hii imepelekea wananchi na wataalamu Afrika Mashariki kujikita katika kupanda miti aina ya mikoko ili kusaidia kuboresha hali hiyo