Baba Mtakatifu arejea Rome baada ya ziara ya UAE

Your browser doesn’t support HTML5

Baba Mtakatifu Francis anarejea Rome baada ya kufanya ziara ya kihistoria katika nchi za jumuia za kiarabu ambako aliongoza ibada Abdu Dhadi kabla ya kurejea Rome.