Papa Francis afanya ziara UAE

Your browser doesn’t support HTML5

papa Francis amefanya ziara maalumu katika falme za kiarabu kwa mara ya kwanza kwa mkuu wa kanisa la kikatoliki ketembelea penisula hiyo ambayo waliowengi ni waumini wa kiisalamu. Akiwa huko aliwataka wa umini na viongozi wa madhehebu yote kushirikiana.