Masuala kadhaa yalitokea kwenye mkutano wa 20 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa 20 wa Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Umefanyika hii leo Arusha, Tanzania, baada ya kuahirishwa mara mbili mwezi Novemba na Disemba mwaka jana