China na Marekani wana matumaini kufikia mwafaka ya mzozo wa kiuchumi

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa China Xi Jingpin amemwambia rais wa Marekani Donald Trump kwamba ana matumaini ya kufikia mwafaka kuhusu mzozo wa kiuchumi unaokabili nchi hizo mbili.