Trump aunga mkono upinzani wa Venezuela

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa marekani Donald Trump amerudia tena kueleza uungaji mkono wa Marekani kwa upinzani wa Venezuela na kusema kwamba maandamano yanayomtaka Nikolas Maduro kuacha Madaraka ni vita vya kupigania uhuru.