Wahenga walisema ulemavu si ugonjwa katika maumbile ya mwanadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Ramla Said anayeishi na ulemavu ambapo amefanikiwa kubadilisha jamii na sasa ametambuliwa ulimwenguni kutokana na jitihada hizo.