Duniani Leo January 21, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Vyama vinavyomuunga mkono Martin Fayulu vimepinga matokeo yaliyotagazwa na mahakama kuu ya kikatiba jumapili ambayo yememuidhinisha Felexi Tshisekedi kuwa rais wa DRC. Leo ni siku ya 30 tangu idara za serikali kuu ya marekani kufungwa, na hakuna dalili yoyote ya kufunguliwa.