Rais Uhuru Kenyatta atoa pole kwa taifa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Uhuru Kenyatta ametoa pole kwa na kuwahakikishia taifa kuwa nchi yao iko salama licha ya tukio la kigaidi kufanikiwa na kuuwa watu zaidi ya 14. Kikundi cha ugaidi cha Al Shabab kimekiri kuhusika na tukio hilo.