Bandari ya Mombasa inaweza kutaifishwa na China
Your browser doesn’t support HTML5
Gaziti la Daily Nation la Kenya limeandika kuwa bandari ya Mombasa inaweza kuchukuliwa na serikali ya China endapo Kenya itashindwa kulipa deni la ujenzi la reli ya SGR .