Midahalao iliyoitishwa na rais Macron kuanza Jumanne

Your browser doesn’t support HTML5

Midahalo iliyoitishwa na rais Emanuel Macron wa Ufaransa kutuatia wiki kadhaa za maandamano nchini humo inatarajiwa kuanza jumanne, huku waandaaji wakimtaka rais kujiuzuru.