Baraza la wawakilishi kuchunguza ripoti ya NewYork Times

Your browser doesn’t support HTML5

Kamati ya sheria ya baraza la wawakilishi litachunguza ripoti ya gazeti la New York Times inayoeleza kwamba idara ya upelelezi FBI ilichunguza ikiwa rais Donald Trump alikuwa akifanya kazi kwa niaba ya Russia.