Video Mtuhumiwa wa kesi ya Westgate Mall aachiwa huru 14 Januari, 2019 Your browser doesn’t support HTML5 Mmoja wa washukiwa wanaokubaliwa na kesi ya shambulizi la Westgate Kenya ameachiwa huru na mahakama kuu ya Kenya.