Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Zitto Kabwe

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama kuu nchini Tanzania imetupilia mbali kesi ya mbunge Kigoma mjini Zitto Kabwena wenzie, iliyokuwa ikipinga muswada wa Sheria ya vyombo vya Habari.