Marekani na Saudia Arabia wakubaliana kusitisha mapigano Yemen
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa mambo ya nje ya Marekani na mwana mrithi wa Saudia Arabia Mohammed bin Salman wamekubaliana kuwezesha sitisho la mapingano mji wa bandari wa Hodeida Yemen.