Kufungwa kwa baadhi ya idara za serikali imeingia siku ya 20

Your browser doesn’t support HTML5

Kufungwa kwa baadhi ya idara za serikali ya marekani kumeingia siku ya 20 bila dalili zozote za mapatano ya kuidhinisha matumizi ya serikali baina ya rais trump na bunge.