Madaktari Zimbabwe wamaliza mgomo wa siku 40

Your browser doesn’t support HTML5

Madaktari nchini Zimbabwe wamemaliza mgomo wa siku 40 walioitisha kudai malipo bora na mazingira sahihi ya kufanyia kazi. Serikali imesema mgomo huo ulisababisha kutaabika kwa wagonjwa na wengine kupoteza maisha.