Wanafunzi DRC walilazimika kurejeshwa nyumbani kuhofia hali ya usalama
Your browser doesn’t support HTML5
Wanafunzi walilazimika kurejeshwa nyumbani kuhofia hali ya usalama baada ya wafuasi wa Mgombea Martin Fayulu kuendelea na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi