Wafuasi wa Martin Fayulu watatizwa na tangazo la SENI

Your browser doesn’t support HTML5

Wafuasi wa upinzani wa Martin Fayulu wanasema hawajafurahishwa na hatua ya tume ya uchaguzi uliyomtangaza Felix Tshisekedi kuwa rais mteule wa Jamhuri ya Kidmokrasia ya Congo.