Mike Pompeo ziarani Mashariki ya Kati
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani anaendela na ziara yake katika nchi za Mashariki ya kati na Afrika Kaskzini ambako alifanya mkutano na waandishi wa habari akiwa katika jiji la Cairo nchini Mirsi.