Seni yagangaza rais mteule wa DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Tume huru ya uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, SENI imemtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwisho mwaka jana, hata hivyo Martin Fayulu aliyetangazwa kushika nafasi ya pili amepinga matokeo hayo.