India kupatia uraia wahamiaji wa makundi ya kidini

Your browser doesn’t support HTML5

India inataka kuwapatia uraia wahamiaji wa makundi ya kidini ya walio wachache ambao walikuwa wakikumbwa na mateso katika mataifa jiran na nchi hiyo.